Kibodi ya Google Automotive ina mambo yote unayopenda kuhusu Kibodi ya Google: Kasi, Kutegemewa, Kuandika kwa Kutelezesha Kidole, Kuandika kwa Kutamka, Kuandika kwa mikono na zaidi
Kuandika kwa kutamka โ Tamka maandishi kwa urahisi popote ulipo
Kuandika kwa Kutelezesha Kidole โ Andika haraka zaidi kwa kutelezesha kidole chako kutoka herufi hadi herufi
Kuandika kwa mikono โ Andika kwa ufasaha na herufi zilizochapishwa
Lugha zinazotumika ni pamoja na:
Kiarabu, Kichina, Kicheki, Kiholanzi, Kiingereza, Kifaransa, Kijerumani, Kigiriki, Kiindonesia, Kiitaliano, Kijapani, Kinorwe, Kipolandi, Kireno, Kiromania, Kirusi, Kihispania, Kiswidi, Kithai, Kituruki, Kiyukrania na nyingine nyingi!
Vidokezo vya kina:
โข Kusogeza kiteuzi: Telezesha kidole chako katika upau wa nafasi ili usogeze kiteuzi
โข Kuweka lugha:
1. Nenda kwenye Mipangilio โ Mfumo โ Lugha na uwekaji data โ Kibodi โ Kibodi ya Google Automotive
2. Chagua lugha unayotaka kuweka. Aikoni ya dunia itaonekana kwenye kibodi
โข Kubadilisha lugha: Gusa aikoni ya dunia ili ubadilishe kati ya lugha zinazotumika
โข Kuangalia lugha zote Bonyeza kwa muda mrefu aikoni ya dunia ili uone orodha ya lugha zote zinazotumika kwenye kibodi
Ilisasishwa tarehe
2 Jun 2025